AJENDA YA VIJANA 2010 Utangulizi Ajenda ya vijana 2010 ni ilani mbadala ya uchaguzi ya vijana wa Tanzania inayoainisha vipaumbele kwenye maeneo 10 ambayo ni nyeti na muhimu kwa manufaa ya vijana, uhai na mustakabali wa taifa letu Tanzania. Kabla ya uchaguzi mkuu 2010 ilani hii huwasilishwa kwa vyama mbalimbali...